Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Baba levo amchana Chino kisa kushindanishwa na Diamond

Katika mahojiano aliyoyafanya na @el_mando_tz Baba levo amemuasa Chino kuwa kama atakuwa anafurahi kushindanishwa na Diamond atakuwa anaingia kwenye kina kirefu cha maji ambacho hataweza kutoka tena na ndio atapotea kabisa.

Baba levo amemtolea mfano Kontawa na kusema amepotea kwenye game baada ya kukubali wimbo wake utumike kumtukana Diamond, alipomshirikisha Harmonize aliharibu kabisa.

Ameongeza kuwa wasanii wachaga ni vyema kujiepusha na mambo ya kushindanishwa na wasanii wakubwa kwani wana mashabiki wengi, badala awatumie mashabiki wa wasanii hao ila wao wanakubali kushindanishwa na mtu kama Diamond.

Amedai kuwa kuna watu wannamtuma chino yaani wapo nyuma yake

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents