Burudani
Belle 9 aja tena
Mwanamuziki ambaye hana muda sana kwenye gemu lakini aliyeleta usumbufu wa hali ya juu kwenye uwanja wetu wa Bongo fleva, Belle 9, anazidi kufanya vyema na sasa amekaa vizuri kwenye kibao chake kipya cha ‘We ni wangu” ambacho amemshirikisha Mr Blue. Belle 9 anasema hiy ni ngoma kali zaidi kwenye ‘Club’ na ni moja ya zawadi yake kwa mashabiki wake wanaofagilia kula bata zaidi