Burudani
Witness kuandaa Part
mwanamuziki wa kizazi kipya Witness Fred ambaye kwa sasa anaitwa Hasnat baada ya kubadili dini na kuolewa na Mankeys, wanatarajia kufanya ‘Bonge la Part’ ambalo litakusanya wadau mbalimbali.
Amesema katika Part hiyo, pia anataka kufanya Video ya wimbo wake mpya aliyouimba na mumewe katika mwezi huu, unaojulikana kama shsssssssssssssss!!, ambao video yake itakuwa miongoni mwa part hiyo.
Aidha alidai kwamba kila mtu anakuwa na nafasi yake ya kuingia, kuanzia waandishi, wapiga pamba Wadau na yoyote ambaye anahitaji kujumuika kwenye Part hiyo, ilimradi kufuata ‘Process’ zinazotakiwa.