Muziki
Song: Ally Nipishe – Nipulika
Hii ndo ngoma mpya kutoka kwa ALLY NIPISHE baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya “MY” ameiambia Bongo5 hii ngoma ya NIPULIKA ni neno la kiswahili cha ndani….. Hutumika katika mwambao wa pwani hasa maeneo ya Tanga. Lina maana ya NISIKILIZE