[youtube]http://www.youtube.com/watch?v=JKuZm4bkAiI[/youtube]
Msanii mpya kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe chini ya mkubwa Fella, naye amekuja na video ya wimbo wake wa kwanza unaokwenda kwa jina la Jicho Chongo, chini ya Producer wa studio Mr India Suresh. Hiki ni kipaji kipya ni baada ya Dogo Aslay kuibuka kwenye kundi hilo..
Suresh na Mugogo wakiwa kwenye studio ya Poteza Record