Muziki
Song: Stopa The Rhymecca ft. Juma Nature – Wasiwasi
Sikiliza hapa ngoma mpya kutoka kwa Hip Hop honcho kutoka R Chuga Arusha, Stoppa The Rhymecca inayoitwa “Wasiwasi” akiwa amemshirikisha Juma Nature. Hii production ya studio ya Sheidon chini ya producer Q The Don a.k.a The Mall. Ni single ya mwisho kutoka kabla ya kuachiwa albam yake, Hapa Nilipo.