Michezo
Picha: Jennifer Lopez na Pitbull washoot video ya wimbo wa kombe la dunia
Wiki hii mrembo Jennifer Lopez alikuwa busy kushoot video mbili za muziki. Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao, “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami. Tazama picha za tukio hilo.