Burudani
STL kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Koolio’ March 31
Rapper wa Kenya, Stella Mwangi aka STLM anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya, Koolio, March 31, 2014. Kabla ya hapo ataachia audio yake kwenye mtandao wa itunes, March 28.
“KOOLIO will be available on itunes from Friday 28/03! I hope ur exited as I am,” ameandika jana kwenye Instagram.