Burudani

Clouds 360: Kipindi kipya cha Clouds TV kitakachoanza kuruka April 1, 2014

Kipindi kipya kiitwacho Clouds 360, kinatarajia kuanza kuruka katika kituo cha runinga cha Clouds TV kuanzaia April 1. Kipindi hicho kitakuwa kikiongozwa na mtangazaji Hudson Kamoga ambapo kitakuwa kikiruka kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi. Kitakuwa kikiangazia habari mbalimbali za ndani na nje, michezo na masuala mengine.

Clouds 360

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents