Burudani

Adele aonesha hisia zake kwa Beyonce

Adele ni mmoja kati ya wasanii walioonesha hisia na mapenzi yao kwa Beyonce.

uuuuuuuu

Adele amewahi kusema kuwa Beyonce ni msanii mwenye uwezo mkubwa na wa ajabu sana na amekuwa akimfuatilia tangu akiwa na umri wa miaka 17 lakini mpaka leo bado anafanya vizuri.

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Adele aliweka picha akiwa amekumbatia picha ya Beyonce na kuandika: “I’m not late on this I’ve just been speechless. Beyonce is the most inspiring person I’ve ever had the pleasure of worshipping. Her talent, beauty, grace and work ethic are all in a league of their own. I appreciate you so much! Thank god for Beyoncé X.”

Beyonce kwa sasa anafanya vizuri na albamu yake ya ‘Lemonade’ aliyoiachia hivi karibuni kwa kushtukiza na imefanikiwa kuingia kwenye chati za Billboard.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents