Alikiba aachia video ya kwanza baada ya kutoa album ‘Oya Oya’ (+ Video)

Track no.1 kwenye album ya @officialalikiba ni oya oya na ndio tayari kideo chake kipo mtaani. Album ya @officialalikiba THE ONLY ONE KING ina ngoma 16 na tayari ipo katika kila platfom.

Tuambie unampa @officialalikiba asilimia ngapi kwa album na hii video ..?

Related Articles

Back to top button