Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Alikiba azidi kukimbiza show zake Marekani

Wote tunafahamu kuwa msanii wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya Kings Music Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba yupo nchini Marekani kwa ajili ya tour yake ya Only One King.

Mpaka sasa amefanya show kwenye miji miwili na kwa taarifa za ndani ya lebo yake ni kwamba Alikiba anatarajia kufanya show katika miji tofauti 10 hivyo bado miji 8.

Katika show hizo Alikiba ameonekana kufanya vizuri zaidi kwenye show zake kutokana na namna mashabiki wanavyoimba nyimbo zake wakati akipafomu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents