Michezo

Andy Murray atupwa nje ya mashindano ya US Open

Mcheza tenesi namba mbili duniani Muingereza, Andy Murray ametolewa katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya US Open baada kupokea kichapo cha seti 1-6,6-4,4-6,6-1,7-5 kutoka kwa Mjapan Kei Nishikori.

380820b500000578-3778446-image-a-77_1473281360087

Nishikori ambaye ni mchezaji namba 6 kwa ubora duniani, atachuana na Stan Wawrinka aliyemshinda Juan Martin del Potro kwa seti 7-6 4-6 6-3 6-2.

380a4a8600000578-3778446-image-a-19_1473287336006

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents