Michezo

Andy Murray atolewa katika mashindano ya Miami

Mcheza Tenisi Mwingereza Andy Murray ametolewa nje katika michuano ya wazi ya Miami na Grigor Dimitrov.

Murray ametolewa katika raundi ya tatu kwa 6-7, 6-4, 6-3, sawa na alama (1-7 ).

329F93D300000578-3513124-image-a-2_1459204719971

Murray mwenye miaka 28, alianza kwa kasi ya juu katika mchezo huo na hadi mapumziko alikuwa akiongoza kwa seti moja.

Lakini Mbulgaria Dimitrov mwenye miaka mika 26 alirejea uwanjani na kumdhibiti Murray na kushinda katika mchezo huo.

Katika mchezo wa awali, Johanna Konta alikuwa mwanamke Mwingereza wa kwanza Kutinga hatua ya robo fainali katika Miami, huku Heather Watson akipoteza kwa Simona.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents