Burudani

Ariana Grande akutwa na Majanga

Mwanamuziki Ariana Grande baada ya kutengana mwaka mmoja uliopita na mumewe Daliton Gomez, huku kesi yao ikiendelea katika Mahakama ya juu jijini Los Angeles kwa miezi sita, wamepeana talaka Rasmi jana Machi 19′ Ariana amekubali kumlipa Gomez Dola 1.25 milioni zaidi ya Bil 3 Tsh.

Kama sehemu ya makubaliano ya kuvunja Ndoa hiyo. Malipo hayo yanakuja baada ya wawili hao kuingia makubaliano kabla ya Ndoa (Prenuptial Agreement) unaolazimisha kuwa endapo wataachana basi Ariana atatakiwa kumlipa Gomez kiasi hicho cha Pesa,pamoja na mgawanyo wa pesa wakiuza mali.
Ariana Grande na Dalton Gomez walifunga ndoa Mei 15, mwaka 2021, huku wakifanikiwa kudumu kwenye ndoa kwa miaka 3 tu.
Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents