Burudani

Audio: Sikiliza kipindi cha Chill na Sky wiki hii kikiwa na Young Killer

Kwenye Chill na Sky wiki hii, Sky amepiga story na rapper Young Killer. Kuna mengi mchizi kayaongea kuhusiana na safari yake muziki, maisha baada ya kuhamia Dar, mafanikio aliyoyapata hadi sasa, uhusiano wake na mpenzi wake Halimaty Adam aka Miss Hip Hop, na issue zingine kibao.

CHILL NA SKY INASIKIKA PIA KUPITIA: ABM Radio (Dodoma) – Jumanne Saa 9:35 Alasiri Bomba Fm (Mbeya) – Jumanne Saa 9:00 Alasiri Afya Radio (Mwanza) – Jumatano Saa 8:30 Mchana na Kings Fm (Njombe) – Ijumaa Saa 10:45 – 11:15.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents