Burudani

Audio: Unaonekana wewe haushindwi kumuua mama yangu kama unawaza nikupe nyumba – Diamond

Msanii wa muziki Diamond Platnumz amefunguka kuzungumzia sakata la kutaka kurogwa na mzazi mwenzake Hamisa Mobetto ikiwa ni siku chache toka audio inayodaiwa kuwa ya mrembo huyo isambae mtandaoni akisikika kuzungumza na mtu anayeadaiwa kuwa ni mganga kuhusu familia ya rais huyo wa WCB.

https://www.instagram.com/p/BnToowpHNaN/?taken-by=bongofive

“Unapotaka kwenda kwa mganga uniroge mimi na mama yangu, unaonekana wewe haushindwi hata kumuua mama yangu, kama unawaza sijui nikupe nyumba. Voice notes zinasambaa sambaa hata mimi nilitumiwa, ninazo unasikia kitu halafu unajua huyu ni yeye, halafu nikamwambia huyu ni wewe,” alisema Diamond kupitia Refresh ya Wasafi TV.

Aliongeza,”Watu kuna vitu wanaongea ongea halafu wanajaribu kuvipindisha aonekane Mama yangu na dada yangu wana matatizo, mama yangu na dada yangu hawawezi kuwa na matatizo. Halafu hao watu wako unaowatuma wakatukane nimeshakuona ukiwatuma wakatukane kwa watu wengine kwa sababu pia uliwatuma pia wamtukane na Zamaradi,”

https://www.instagram.com/p/BnTpkMzgP_n/?taken-by=maimarthajesse

Wiki hii dada wa Diamond Platnumz, Esma aliandika ujumbe mrefu kukanusha taarifa ambazo zilikuwa zinasambaa kwenye mitandao kwamba wameandaa voice note kwaajili ya kumchafua Hamisa Mobetto.

Related Articles

26 Comments

  1. Namuonea huruma wanavyomdhalilisha yani angeachana nao akatafuta maisha yake kwani kuzaa nae ndio amgande. Mbona kama nyumba hata hamisa uwezo wa kujenga anao akijipanga kwani lazima ajengewe na mwanaume.

  2. Kaka rauka kutoka ndotoni that is call set up from people who hate Hamisa,they come up with it to tarnish Hamisa’s name and to break your relationship with her may be that can be their last resort after they realized bado mko pamoja therefore they used the sensitive part of your life your Mum because they know u love your mom,hekima ni kitu ya maana Kaka because why did they sent it to u in the first place,elemika Kaka,those behind you are either the ones who want u back in their life or the ones who DNT want to see u together…..mapenzi,wivu nk ndio chanzo ya hayo yote

  3. Either your people are the one involved in the scam or Hamisa’s friends or even Tukinao…. Jealous people will used sensitive things and issues to manipulation your in whichever ways for their success therefore the ball is in your court #Diamond judge it well may God grant u wisdom so that u may not take part in it or fall for their stupid scams

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents