BurudaniHabari

Baada ya Snoop Dogg kutangaza kuacha bangi anayefuata ni Meek Mill

Baada ya Rapa mkongwe kutoka Marekani, Snoop Dogg kutangaza kuwa anachaa kuvuta bangi.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram alisema baada ya kutafakari na mazungumzo na familia yake, ameamua kuacha kutumia bangi. Ametoa rai kupitia jukwaa hilo akiwaomba watu kuheshimu faragha yake
kwa wakati huu.

Baada ya uamuzi huo Rapa mwingine kutoka Marekani Meek Mill ame-Tweet na kusema kuwa Snoop Dogg ameanza anayefuata ni yeye pia kuacha kuvuta Bangi.

Unahisi kwanini baadhi ya mastaa wanatangaza kuacha kuvuta bangi??

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents