Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Baba levo alivyopokelewa kama Mfalme katika soko la akina mama Ujiji Kigoma

Hapa Mwanga Kigoma @officialbabalevo kama Mfalme wao yani huwaambii chochote wakazi wa hapa.

@officialbabalevo akiambatana na @mwijaku pamoja na @el_mando_tz wamefika kiwasalimia akinamama na wafanyabiashara wa hapa soko la usiku na mapokezi yake usipime.

@officialbabalevo alikuwa Diwani wa Mwanga hapa Kigoma Mjini kupitia Chama Cha ACT WAZALENDO.

@mwijaku amsifia @officialbabalevo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents