Habari
BAKWATA wafunguka juu ya mahujaji 100 waliotelekezwa (Video)
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2018/03/Screen-Shot-2018-03-26-at-17.23.07.png)
Kitengo maalum kinachohusika na kusimamia waislam wanaokwenda kuhiji kutoka Bakwata, kimesema bado kinashughulikia tatizo la mahujaji 100 ambao walitelekezwa uwanja wa ndege na kampuni ambazo zilikuwa ziwapeleke kuhiji