Burudani

Baraka da Prince: Asilimia 85 ya muziki wetu kelele na fujo tu bora litrend

Msanii wa BongoFleva Barakah The Prince kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kunyoosha maelezo kwa kusema kuwa asilimia 85 ya muziki unaoimbwa sasa ni kelele, fujo na wasanii wanaimba bora wimbo utrend tu bila kuangalia topic.

Leo nimejaribu kupitia baadhi ya nyimbo mpya zimetoka hivi karibuni, nimegundua katika 85% ya miziki hiyo ni kelele nyingi, miziki iliyokosa topic yaani fujo fujo tu bora li-trend, bora liendee na bora walevi waka-bang, twapaswa kujitafakari wanamuziki wa kizazi hichi cha nyoka

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents