BurudaniHabari

BASATA yawapongeza wasanii walioteuliwa kuwania tuzo ya AFRIMA 2022

BARAZA LA SANAA LA TAIFA (BASATA) LINAWAPONGEZA WASANII WOTE KUTOKA TANZANIA WANAOWANIA TUZO ZA AFRIMA 2022.

Wanaowania tuzo hizo kutoka Tanzania:

BEST MALE EAST AFRICA
1.Diamond Platnumz
2.Rayvanny

ARTIST OF THE YEAR
1.Diamond Platnumz

BEST LIVE ACT.
1.Diamond Platnumz
2.BARNABA

BEST COLLABORATION
1.Diamond Platnumz
2.Marioo
3.Loui

VIDEO OF THE YEAR
1.Diamond Platnumz
2.Mbosso

ALBUM OF THE YEAR
1.Diamond Platnumz

BEST FEMALE EAST AFRICA
1.ZUCHU
2.MAUA SAMA
3.NANDY

Majina ya wateule hawa yaliwekwa hadharani Septemba 14, 2022 katika mtandao wa Afrima,ni wazi kwamba Tanzania inazidi kupaa zaidi kimataifa kupitia fani ya Muzik.i Hivyo basi watanzania tujitokeze kwa wingi kuwapigia kura wateule wetu hawa ili waweze kushinda Tuzo hizi za AFRIMA 2022.

Tuzo za Muziki Afrika (AFRIMA) Ni tukio la kila mwaka la utoaji tuzo.
Tuzo hizi zilianzishwa na kamati ya kimataifa ya AFRIMA, wakishirikiana na umoja wa Afrika (AU) kwa ajili ya kutunza na kuwapongeza wasanii, vipaji na ubunifu katika bara la Afrika,lakini pia kusambaza na kukuza urithi na utamaduni wa Afrika, onyesho lake la tuzo za waanzillishi lilifanyika mnamo 2014

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents