Bongo5 ExclusivesBurudaniFahamuHabari

Zifahamu kumbi 10 za muziki duniani, zenye uwezo wa kuingiza watu wengi zaidi

Watu wengi wanafahamu kuwa huenda kumbi mbili maarufu duniani 02 Arena uliopo London nchini Uingereza na Accor uliopo Paris huenda ndio kumbi kumwa zaidi duniani za kufanyia matamasha na matukio makubwa zaidi duniani.

Jibu ni laaha kumbi hizo mbili ni moja ya kumbi ndogo sana duniani, ukumbi wa Accor uliopo jijini Paris nchini Ufaransa una uwezo wa kuingiza watu 20,300, upo nafasi ya 37 duniani huku ukumbi wa 02 Arena uliopo London Uingereza una uwezo wa kuingiza watu 20,000 upo nafasi ya 41 duniani.

Bongofive tumekuandalia kumbi 10 tu (Indoor Arena) zenye uwezo wa kuingiza watu wengi zaidi dunaini.

  1. KJC King Dome 75,000 uliopo katika jiji la Davao nchini  Philippines
  2. Philippine Arena 55,000 uliopo mjini Bocaue nchini Philippines
  3. Saitama Super Arena 36,500 upo mjini Saitama nchini Japan
  4.  Smart Araneta Coliseum 30,000 upo mjini Quezon nchini  Philippines
  5. SM Mall of Asia Arena 27,500 upo mjini Pasay nchini  Philippines
  6.  Baku Crystal Hall 27,000 upo mji wa Baku nchini Azerbaijan
  7. Mineirinho 25,000 upo katika mji wa Belo Horizonte nchini Brazil
  8. Arena Ciudad de México 25,000 upo katika mji wa Mexico City nchini Mexico
  9. Štark Arena 24,300 upo katika mji wa Belgrade nchini Serbia
  10. Greensboro Coliseum 23,500 upo katika mji wa Greensboro, North Carolina  nchini Marekani.

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents