Habari

Bashe : Mawaziri wametengeneza ‘chaka’ linaloitwa Rais Magufuli (Video)

Mhe.Hussein Bashe amesema moja ya jambo mbaya kwa Mawaziri wengi ni kujificha kwenye kivuli cha Rais Magufuli wakinadi uzalendo na kushindwa kukosoa au kushauri vitu muhimu kwenye serikali. Mbunge huyo amesema hayo leo akipokuwa katika kipindi cha 360 na kuuliza juu ya hali ya uchumi wa Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents