Habari

Mhe.Bashe adai umaskini kwa wananchi umeongezeka (Video)

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe amefunguka kwa kusema kwamba hali ya uchumi nchini Tanzania ambayo inadaiwa kuimarika na serikali, hauwezi kuwanufaisha watanzania wa chini. Akiongea katika kipindi cha 360 cha Clouds TV, Bashe amedai serikali inatakiwa kuwekeza zaidi kwenye uzalishaji na kuwaacha wananchi waweze kuuza bidhaa zao nje ya nchi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents