Habari

BBA The Chase: Nando na Elikem nusura wazichape, watukanana matusi ya nguoni (video)

Jana jioni jumba la Big Brother Africa lilibaki kimya kuwasikiliza mafahari wawili, Nando na Elikem wakirushiana matusi ya nguoni kwenye ugomvi mkali kuwahi kutokea tangu shindano hilo lianze.

“You’re a b*tch n*gga. You’re 24 and I’m 22 but you shake your butt in front of the cameras. Who does that? Now I’m regretting why I never Nominated you,” anasikika Nando akitukana kwa hasira.

“I have nothing to say to you,” alisema Elikim. “I have plenty to say and I will say it”, Nando alijibu huku akichukua kofia yake ya soksi (beanie). “That’s my beanie and only real n*gga’s are allowed to wear it. Not people like you”, aliendelea Nando.

Baada ya Nando kuendelea kuporomosha matusi, uvumilivu ulimuishia Elikem, “I dare you to start this on the outside. I double dare you,” aliongea kwa hasira huku Bimp, Oneal na Melvin wakihangaika kuwazuia jamaa hao wasitwangane kikwelikweli. Elikem aliongeza, “The only reason I’m letting you go is because we’re in here. F*ck you and your mother”.

Bimp na Melvin walifanikiwa kumvuta Nando hadi bafuni kumtuliza. “Nobody double dares me. I swear. I felt like stabbing that n*gga. These are the n*ggas that deserve to die,” alisema Nando.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents