Habari

Song: Cindy Rulz ft. Chid Bway – Utanifanya Nighairi (*Very Hot*)

Huu ni wimbo mpya wa mmoja wa femcee wakali wachache Tanzania waliosalia na wanaoendelea kufanya vizuri, Cindy Rulz. Wimbo unaitwa Utanifanya Nighairi aliomshirikisha Chid Bway na kutengenezwa na producer KGT wa G Records.

Hivi karibuni tulifanya interview na Cindy. Itazame hapo chini ili umfahamu zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents