Burudani
BBC: Nyimbo 10 za Afrika Mashariki zilizofanya vizuri 2019, WCB waingiza 4
![](https://bongo5.com/wp-content/uploads/2019/12/Screen-Shot-2019-12-28-at-18.27.45.png)
Jumamosi hii BBC imetoa orodha ya nyimbo 10 za wasanii wa Afrika Mashariki zilizofanya vizuri mwaka 2019 huku Tanzania ikiingiza nyimbo 7 ambapo kati ya hizo nne zimetoka kwenye label ya WCB. Tukiachana na list hii wewe pia kama shabiki wa muziki unaweza kuorodhesha hapo chini nyimbo gani zilizofanya vizuri mwaka 2019.