Burudani

Beyonce ndiye staa aliyetafutwa zaidi kwenye Google

Beyonce ndiye msanii wa kike aliyetafutwa zaidi kwenye Google mwaka huu kwa upande wa Uingereza.

1405931146_beyonce-zoom

Muimbaji huyo amekuwa kwenye spotlight katika kipindi cha miezi 12 iliyopita kutokana na tetesi za kuyumba kwa ndoa yake na Jay Z. Kingine ni baada ya mrembo huyo kutoa album ya surprise na ziara yake na mumewe ya ‘On The Run’

Hii ni orodha nzima:

Mastaa wa kike waliotafutwa zaidi kwenye Google:
1) Beyonce
2) Jennifer Lawrence
3) Katy Perry
4) Ariana Grande
5) Taylor Swift

Mastaa wa kiume waliotafutwa zaidi kwenye Google:
1) Ed Sheeran
2) Jay Z
3) Harry Styles
4) Benedict Cumberbatch
5) David Beckham

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents