Burudani
Alikiba, Shaa na AY kupanda jukwaa moja na msanii wa Jamaica
Alikiba, Shaa na AY watapanda jukwaa moja na msanii wa kundi la Brick N Lace, Nyla pamoja na Redsan wa Kenya kwenye show ya mjini Mombasa itakayofanyika December 31.
Nyla aliyeshirikishwa na Redsan kwenye wimbo ‘Touch Me There’ ameandika kwenye Instagram: So excited about the big show.”