Burudani

Big Sean ajiunga na Roc Nation

Big Sean amesaini mkataba wa usimamizi na kampuni ya Roc Nation.

Big-Sean-Chain

Taarifa hiyo imetolewa kwenye website ya Roc Nation isemayo: Big Sean is the newest member of the Roc Nation family.

Anaungana na wasanii wengine wakubwa kama Kanye West, Jay Z, Rihanna, Meek Mill, na Timbaland kwenye kampuni hiyo.

Kabla ya hapo, msanii huyo alikuwa akisimamiwa na kampuni ya Kevin Liles, KWL Enterprises.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents