Michezo

Bondia David Haye ametangaza kutoa asilimia 10 kwa bondia Nick Blackwell ambaye yupo ICU

Bondia kutoka England, David Haye akiwa katika maandalizi ya pambano lake dhidi ya bondia kutoka Kosovo-Albania, Arnold ‘The Cobra’ Gjergjaj, ametangaza asilimia 10 ya kipato chake katika pambano hilo atatoa kwa bondia Nick Blackwell.

Boxing - David Haye Press Conference - Grosvenor House, Park Lane, London - 30/3/16 David Haye during the press conference Action Images via Reuters / Andrew Couldridge Livepic EDITORIAL USE ONLY.

Blackwell ambaye yuko kitandani Hospital amelazwa ICU baada ya kipigo kikali alichokipata katika pambano lake dhidi ya Chris Bank Junior. Bondia huyo alianguka akiwa ulingoni.

3297AA0400000578-3515374-Eubank_Jnr_lands_a_powerful_jab_on_Blackwell_who_was_placed_in_a-a-52_1459335670785
Bondia Chris Bank Junior alivyo kuwa akimpa makonde bondia Nick Blackwell

3294FC4D00000578-3515374-The_25_year_old_s_left_eye_was_forced_shut_after_he_took_repeate-a-3_1459336640070
Bondia Nick Blackwell ambaye kwasasa yupo ICU

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents