Bongo Flava yaikalisha Bongo movie kwenye tamasha la matumanini chini ya Vodacom Tanzania
Msanii wa kunyanyua vitu vizito, Maisala Juma akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi wakati wa Tamasha la Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana
Msanii wa muziki wa nyimbo za dini kutoka mbeya Ambwene Mwasongwe,akiimba na kukongonga nyoyo za mashabiki wa nyimbo zake wakati wa Tamasha la Matumaini lililodhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wakiwa wamefurika katika Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na Global Publishers na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania katika kuazimisha sikukuu ya Nanenane katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana
Wachezaji wa Timu ya Bongo Fleva wakisamiliana na wachezaji wa Bongo Movie kabla ya mechi yao kuanza katika Tamasha la Matumaini
Kikosi cha Bongo Movie kilichokikabili kikosi cha Bongo Flava