Habari

Busu (de*da) ya sekunde 10 husambaza bacteria zaidi ya milioni 80!

Busu hususan denda aka ‘French Kiss’ ya sekunde 10 tu inaweza kusafarisha zaidi ya bacteria milioni 80, kwa mujibu wa wanasayansi wa Uholanzi.

couple-kissing (1)

Utafiti unadai kuwa mdomo ni makazi ya zaidi ya aina 700 wa bacteria – lakini ripoti hiyo imedai kuwa baadhi yao hutembea kirahisi kuliko wengine.

Utafiti huo umechapishwa kwenye jarida la Microbiome.

Soma zaidi hapa.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents