Habari

CHADEMA wangeniteua nisingekubali, mimi si mwanasiasa – Dkt. Hellen Kijo-Bisimba (+video)

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Hellen Kijo Bi – Simba baada ya kustaafu amesema kuwa taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya Kijamii za kuteuliwa na Baraza la Wazee wa Chadema si la Kweli na hata angeteuliwa na CHADEMA asingekubali kwasababu yeye si Mwanasiasa: Tazama video hii akieleza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents