Habari

Cheusi Dawa yaileta Poetry Addiction awamu ya pili, Aug 31

Sehemu ya pili ya Poetry Addiction itafanyika tarehe 31 mwezi huu huku kukiwa na list ya wasanii wakali watakaokamata kipaza kutumbuiza na live band.

BSP_F2LCAAErbyL

Wasanii watakaotumbuiza siku hiyo ni pamoja na Cliff Mitindo, muimbaji wa R&B, Tinashe aka AVID na Damian Soul.

Wengine ni pamoja Fena Gitu aka Fenamenal kutoka Kenya, Henry the First, Lufuz na Masharikans.

Host wa show hiyo atakuwa Reuben Ndege aka Nchakalih.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents