Burudani

Chipukizi Donny Flavour afunguka sababu ya kumshirikisha Mr Blue kwenye wimbo wake ujao

Msanii chipukizi wa Bongo Flava, Donny Flavour amefunguka sababu ya kumshirikisha Mr Blue kwenye wimbo wake mpya ambao anatarajia kuuachia mwezi huu.

Akiongea na Bongo5, Donny amesema, “Nimeamua kumshirikisha Mr Blue kwa sababu ni rapper ambaye ana uwezo mkubwa wa kubadilika kutokana na mahadhi ya wimbo pamoja na beat (mdundo).”

“Tangu nilipokuwa mdogo nilikuwa namsikiliza sana. Hiyo ngoma itatoka mwezi huu wa March,” ameongeza. Muimbaji huyo alifanya vizuri na wimbo wake wa kwanza ‘Twende Nyumbani’ ambapo kwenye video ya wimbo huo Giggy Money ndio model.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents