HabariMichezo

Dabi kubwa wikiendi hii, Odds kubwa kutoka Meridianbet

Meridianbet - Bashiri Popote, Wakati Wowote!

DABI KUBWA WIKIENDI HII, ODDS KUBWA KUTOKA MERIDIANBET.

Hii ni wiki ya washindi kama ukiichagua Meridiabet. Odds nono namachaguo kedekede yanapatikana huku! Zaidi ya michezo 1000kuchezwa wiki hii, ni fursa ya kutengeneza mamilioni ya pesa. Kubwa zaidi, ni muendelezo wa Ligi ya Mbalimbali EPL, La Liga, Serie A, Ligue 1 na nyingine kibao. Mchongo upo hivi;

Dabi ya Italia (Il derby d’Italia) inawakutanisha Napoli dhidi yaJuventus katika dimba la Diego Armando Maradona leo Ijumaa. Napoli anaongoza Ligi kuu y aItalia akiwa amepoteza mchezommoja pekee msimu huu, wakati Juventus akiwa amepoteza mechi2 mpaka sasa. Napoli hawajapoteza mchezo wakiwa nyumbani dhidiya Juventus tangu mwaka 2019. Odds ya 2.01 Napoli kushindainaweza kuboost mkeka wako!

Pale EPL inapigwa Dabi ya Manchester mapema kabisa siku yaJumamosi, Manchester United watakuwa wenyeji wa Manchester City kwenye dimba la Old Traford. Vita ya mahasimu hawawaliokatika nafasi ya 2 na 4 inazidi kuchochewa na ubora wa timuhizo kwa sasa. Mshambuliaji Marcus Rashford kufunga goli anaOdds ya 3.43 wakati Erling Haaland akiwa na Odds ya 1.69.machaguo zaidi na Odds nono endelea kubeti na meridianbet.  

Jumamosi kuna Odds kibao za ushindi, Kule La Liga – Girona (2.45) watavaana na Sevilla (2.89) wakati Real Sociedad (2.45)wakivaana na Athletic Bilbao (2.99). EPL – Brighton (3.23) dhidiya Liverpool (2.11) katika dimba la American Express Community. Serie A – Lecce (5.68) dhidi ya AC Milan (1.60), Inter Milan (1.27)vs Verona (9.40). Ligue 1 – Marseille (1.39) dhidi ya Loriente(7.25), Lyon (1.60) dhidi ya Strasbourg (5.09). Kwa Odds hiziushindi ukiwa na meridianbet ushindi kwako ni jambo la kawaida.

Siku ya Jumapili, Dabi ya London Tottenham wakiwakaribishavinara wa EPL ArsenalWashika Mtutu hawajashinda katikauwanja wa Tottenham katika misimu 3 iliyopita wamepewa Odds ya 2.20 kuibuka na ushindi ugenini dhidi ya vijana wa Conte.

Baada ya kushinda mchezo mmoja kati ya michezo 11 iliyopita,Chelsea watakuwa nyumbani Stamford Bridge dhidi ya Crystal Palace siku ya Jumapili. Je, Potter ataweza kurekebisha makosa. Hiihapa Odds ya 1.67 kwa Chelsea. Hii ndio nyumba ya ushindi, Meridianbet!

Mabingwa wa Ufaransa, PSG hawaja shinda ugenini  katikadimba la Roazhon Park dhidi ya Rennes tangu mwaka 2018. Matajiri wa Paris wamepoteza mchezo mmoja pekee msimu huu, wataweza kuvunja uteja dhidi ya Rennes. Odds ya 4.41 mchezo huukumalizika kwa sare, weka beti yako sasa!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents