Burudani

Davido na Koffi Olomide uso kwa uso (+video)

Mwanamuziki wa Jamhuri wa Kidemokrasi ya Kongo, Koffi Olomide ameingia studio na msanii kutoka Nigeria, Davido.

Mumbaji huyo ambaye kwa sasa anatamba na ngoma ‘Alidor’ ameshare video katika ukurasa wake wa Instagram akielezea ujio wa kolabo yao.

Picha: Davido amtembelea Cassper Nyovest Afrika Kusini, kisa?

Davido kwa sasa anafanya vizuri na kolabo aliyofanya na msanii kutoka, Afrika Kusini Cassper Nyovest, ngoma waliyotoa pamoja inaitwa Check On You.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents