Habari

DC Magu: Mwalimu aondolewe anafanya mapenzi na wanafunzi zaidi ya watatu na kuwalaza kitanda kimoja (+ Video)

MKuu wa Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza, SALUM KALI, amemuagiza Afisa Elimu wa Mkoa wa Mwanza kumfuta kazi Mwalimu MAMBO SASA, ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Msingi ILUNGU Wilaya Magu, kwa kuwa na tuhuma za Kufanya Mapenzi na Wanafunzi wake,

kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya imekuja baada ya wadau wa Elimu, shirika la KIVULINI, kueleza utafiti walio ufanya katika Wilaya hiyo na kubaini changamoto hiyo, ya Mwalim Kuwa mahusiano ya kimapenzi na Wanafunzi wake.

Bofya hapa chini kutazama.

https://www.instagram.com/tv/COzqex7BElR/

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents