Diamond akila bata na Focalist kutoka Afrika Kusini kwenye Rolls Royce yake (+ Video)

Leo imekuwa siku ya kitofauti sana kwa staa wa Bongo Fleva @diamondplatnumz ambapo ameonekana akiwa na wasanii wenzake mmoja akitoka nchini Afrika Kusini ambaye ni @focalistic

@diamondplatnumz ameonekana na wasanii hao akina @younglunya producer @s2kizzy , @romyjons wakielekea sehemu ya chakula huku akitoka na magari yake yote likiwemo hili jipya #Rolls Royce.

Related Articles

Back to top button