Bongo5 ExclusivesBurudaniDiamond PlatnumzHabari

Diamond: Ikitokea nimekufa bendera ya Tanzania haitakuwepo hapo

Baada ya kutajwa kuwa ni miongoni mwa wasanii 10 kutoka Afrika wenye ushawishi mkubwa duniani.

Staa huyo wa Bongo Fleva na CEO wa WCB ameipost list hiyo kupitia Insta stori yake na kiandika maneno haya.

“Kiufupi ikitokea nimekufa bendera (Akiiweka bendera ya Tanzania ) haipo hapo…! Pengine top 100 Insha Allah 🙏”

Kwa uelewa wako unahisi @diamondplatnumz amemaanisha nini kuweka ujumbe huo ?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents