Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi ya Wanawake ya Serengeti Lite limefunguliwa leo Desemba 16, 2022 na kutarajiwa kufungwa Januari 15, 2023.