Burudani

Diva atease ngoma yake ijayo ‘Jicho la Huba’ aliyomshirikisha Stereo na Prezzo

Ulishamsikia kwenye ‘Piga Simu’ na kwenye ‘Mgonjwa kwa Raha Zako’ na sasa jiandae kumsikia tena kwenye ‘Jicho la Huba’.
divaakamimi

Kwa mara nyingine tena mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva aka The Bawse, ameingia tena studio na producer Lamar kutengeneza ngoma hiyo aliyoshirikishwa rapper Stereo.

DSC_5073

Diva amefunguka pia kuwa Prezzo atashirikishwa kwenye wimbo huo.

Kwa kionjo hicho kidogo alichotoa, Jicho la Huba ni ngoma kali lakini usipokuwa makini sauti ya Diva humu unaweza kuifananisha kidogo na sauti ya Saraha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents