Burudani

Diva atishia kuondoa verse ya Bill Nas kwenye wimbo aliomshirikisha, kisa ni hiki

Diva aliachia wimbo wake mpya ‘Baby Boy’ aliomshirikisha Mr Blue na Bill Nass wiki iliyopita lakini sasa ametishia kuiondoa verse ya ‘Mchafu Pozi.’

13414194_491297424408732_5674585_n

Hayo yote yalikuja baada ya gazeti moja kuandika habari yenye kichwa kisemacho: Bill Nas ashangaa Diva kujigonga kwake.

13643547_1115395361836905_2102257162_n

Akipost picha ya gazeti hilo, Diva aliandika:

Wee mwandishi wa hili gazeti ni Mp**bavu na Billnass Kama Umeongea kweli hii ni M**bavu na Natoa Verse yako kwenye wimbo wangu. vibongo fleva artist vinapenda Kiki asa Billnass nijigonge kwako ili iweje?! like for what? Man the f*ck … kwan hukuw unajua kwamba whatever was Posted here ni kwa ajili ya wimbo? Afu i said this once and am saying this again sitaki kuandikwa kwenye magazeti with cheap publicity mie sio level zangu hizo. Up**avu wenu andikeni wanaopenda kiki mie sitaki ujinga tusikerane saa hizi watu tuko busy kufanya kazi mambo ya kiki za kipumbavu pelekeni huko sitaki ujinga. Huyo billnass mie namjua kabla wote hamjamjua i was treating him lile mdogo wangu sababu ni mdogo wa rafiki yangu, naona nae mapembe yamemuota and he is being a two faced. F*ck off stak andikwa ujinga. sitaki kiki zenu za ki**bavu. i have my relationship with my man for years now and he knows f*ck off. ujinga ujinga mnahisi kila mtu anapenda huh?!stupid as*.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents