Habari

Dkt. Hosea Rais mpya wa TLS (+ Video)

Dkt Edward Hosea Rais mpya wa Chama cha wanasheria Tanganyika TLS ameshinda kwa jumla ya kura 293 Akifuatiwa na malkia wa nguvu Flaviana Charles aliyepata Kura 223 Kati ya kura 802 zilizo pigwa na wanachama hao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents