Burudani

Dogo Janja na Irene Uwoya katika muziki: Madee afunguka (+Video)

Msanii wa muziki Bongo, Madee amefunguka kuhusu ujio wa ngoma ya Dogo Janja na mkewe, Irene Uwoya.

Madee amesema kuhusu kolabo hiyo ni wazo ambalo aliletewa na akaona ni wazo zuri kibiashara ila bado ni mapema kuzungumzia hilo.

“Hiyo ni project ambayo bado haipo rasmi lakini ni wazo ambalo lililetwa nikaona ni zuri kibiashara. Ikiwa tayari basi nitakuja hapa nitawaambia,” Madee ameiambia Bongo5.

Dogo Janja ambaye alimuoa muigizaji Irene Uwoya October, 2017 anafanya muziki wake kwa sasa kupitia MMB ambayo ipo chini ya Madee.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents