Mahojiano

Dogo Janja: Nimefurahi sana kuona Darassa amefanya ngoma na Alikiba, vyuma vikikutana viliwwi kinachotokea ni moto (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Dogo Janja ameelezea furaha yake baada ya kuona Darassa amefanya ngoma na Alikiba kwani ndio wasanii anaowakubali zaidi Tanznaia.

Dogo Janja ameeleza kuwa vinapokutana vyuma viwili kinachotokea ni kitu kikubwa sana hivyo hategemei kuona Darassa na Alikiba wanamuangusha katika kolabo yao hiyo.

Pia ameeleza kuwa ngoma ambayo yeye Dogo Janja ameshirikishwa na Darassa ilirekodia sa nane usiku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents