Mahojiano

Jux: Sipo kwenye album ya Darassa nimeumia sana, naumia sana kwenye mapenzi ndio X wangu alinizawadia koti (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Juma Jux amefunguka sababu z akutokuwepo kwenye album ya Darassa Slave become A King ingawa yeye kwenye album yake alimshirikisha Darassa.

Mbali na hilo Jux amezungumzia safari yake ya kwenda Zimbabwe na kueleza ni kwa namna gani muziki wetu unapenda sana katika mataifa ya wenzetu hapa Afrika.

Jux ameongea pia sababu za kutangaza kuwa koti alilofanyia show Arusha ambayo ilikuwa show ya Diamond na wasafi kuwa alizawadiwa na X girlfriend wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents