Burudani

Dotto Magari adai hataacha mbwembwe ‘Masikini hana kiasi’ Video)

Mshereheshaji mtandaoni @dotto_magari tumefanya naye mahojiano kuhusu kauli ambazo anazitoa mtandaoni baada ya watu kudai kwamba anapitiliza mikapa.

Dotto alidai hawezi kuacha kufanya hivyo kwa kuwa amepitia maisha magumu yakuchekwa na kusimagwa hivyo kwa sasa ni wakati wake.

Kuangalia full interview tembelea YouTube ya BongoFive

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents